1 Nov 2025 8:50 pm | Citizen TV 332 views Duration: 1:20 Muungano wa chama cha kitamaduni cha wanawake kutoka jamii mbalimbali kaunti ya Kilifi uliandaa maonyesho ya tamaduni zao kando na kuwashinikiza kina mama kujihusisha na uongozi.