Wanawake wamehimizwa kuwania nyadhifa za uongozi ambazo mara nyingi zimeidhaniwa kuwa za wanaume pekee yao.Huo ni ujumbe uliokithiri kwenye majadiliano wakati wa hafla ya kuapishwa kwa rais mteule wa tawi la Stoni Athi la chama cha Rotary,Harriet Ndege, ambaye aliwashauri wanawake kuwania nyadhifa hizo muhimu bila uoga.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive