Wandani wa Gachagua wakabiliana na polisi Kigumo

  • | Citizen TV
    646 views

    Viongozi wanaomuunga mkono aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua walikabiliwa kwa risasi na vitoa machozi katika eneo la Kigumo kaunti ya Murang'a