Skip to main content
Skip to main content

Wandani wa Raila wanasema kikosi cha Sifuna kilipangwa vyema kusaidia kumuokoa Raila

  • | Citizen TV
    105,480 views
    Duration: 4:18
    Aliyekuwa mshauri mkuu wa masuala ya kisheria wa Raila, Paul Mwangi, pamoja na aliyekuwa msemaji wa raila Dennis Onyango, sasa wanadai mrengo wa odm unaoongozwa na katibu mkuu Edwin Sifuna, ulikuwa umepangwa. Wawili hawa wakisema mrengo huu wa linda mwananchi ulikuwa mwanya wa odinga kuondokea ushirikiano wake na Rais William Ruto, ikiwa uhusiano huo ungeingia doa.