Skip to main content
Skip to main content

Wandani wa Sifuna wasema hawatahudhuria mkutano wa NDC ya ODM

  • | NTV Video
    15,414 views
    Duration: 4:00
    Wandani wa katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna sasa wamesisitiza kwamba hawatahudhuria mkutano wa wajumbe wa chama hicho utakaofanyika tarehe 27 mwezi huu, wakidai kuwa mkutano huo haujakaitishwa kisheria. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya