Skip to main content
Skip to main content

Waombolezaji wanazidi kumiminika nyumbani kwa Raila huko Opoda Farm

  • | Citizen TV
    15,962 views
    Duration: 15:56
    Hayati Raila Odinga atazikwa Kang'o ka Jaramogi huko Bondo, kaunti ya Siaya, siku ya jumapili. Waombolezaji wanazidi kumiminika nyumbani kwa Raila huko Opoda Farm, Bondo wakisubiri kumpumzisha. Jamaa na marafiki wa familia ya Jaramogi Oginga Odinga waneendelea na shughuli ya kuandaa kaburi la hayati Raila Odinga huko Bondo. Shughuli hiyo ilianza siku ya Alhamisi usiku na imeendelea leo katika boma la Mzee Jaramogi, Kango ka Jaramogi ambapo mazishi yatafanyika Jumapili.