Skip to main content
Skip to main content

Wapiga kura 5,700 wamesajiliwa katika kaunti ya Lamu kufikia sasa

  • | Citizen TV
    320 views
    Duration: 3:35
    Huku muda wa zoezi la kusajili wapiga kura wapya kwa awamu ya kwanza mashinani ukiendelea kuyoyoma wapiga kura 5,700 wamesajiliwa katika kaunti ya Lamu kufikia sasa. idadi hiyo ikiwa sawa na asilimia 62 ya wapigakura wa kaunti hiyo.