- 4,576 viewsDuration: 2:41Huenda idadi ya wapiga kura katika eneo la Mlima Kenya ikafika watu milioni 7 katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, hii ikiwa zaidi ya robo ya sajili nzima ya wapiga kura nchini. Kura hizi zimechangia vuta nikuvute ya kusaka kura hizo baina ya Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua anaye shirikiana na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa sasa.