Wapiga kura zaidi ya milioni 1.2 wanashiriki uchaguzi Somaliland

  • | Citizen TV
    624 views

    Zaidi ya wapiga kura milioni 1.2 nchini Somaliland leo walijitokeza kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa urais, wagombea watatu wakijibwaga uwanjani kwa kivumbi hicho