Wapiga mbizi waokoa papa ndani ya maji

  • | BBC Swahili
    727 views
    Tazama namna wapiga mbizi hawa walivyowasaidia papa watano waliokuwa wamenasa kwenye nyavu za kuvulia samaki ndani ya maji karibu na Indonesia. Papa ni aina ya samaki wakubwa zaidi lakini idadi yao imekuwa ikipungua, kwa mujibu wa shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira. #bbcswahili #papa #indonesia