'waponyaji wa kiroho' wanaowanyanyasa kingono wanawake

  • | BBC Swahili
    335 views
    BBC imefichua madai ya kuenea kwa unyanyasaji wa kingono na udhalilishaji unaofanywa na waponyaji wa kiroho. Nchini Morocco na Sudan zaidi ya wanawake 80 walisema wamebakwa, kushambuliwa au kurubuniwa ili wafanye ngono. Ni mara ya kwanza uchunguzi wa aina hii unafanywa kuhusu unyanyasaji unaozunguka mila hii isiyodhibitiwa. #bbcswahili #morocco #sudan