Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 ni mtoto wa kwanza kati ya watoto sita katika familia yake kutoka machakos.
Irene ni mmoja wa wale ambao maisha yao yalivurugika alipovamiwa na fisi, anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama alipokataa wamnyanyase kingono.
Hapa ndipo Irene Mbithe alipokutana ana kwa ana na fisi aliyemshambulia vibaya, kwa kumtafuna uso upande wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa jicho moja ambalo mpaka sasa halioni. Amemsimulia Hamida Abubakar katika waridi wa BBC
#bbcswahili #kenya #waridiwabbc
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
20 Aug 2025
- DCP leader Rigathi Gachagua will only be allowed to hold his planned meeting at the Kamukunji grounds on Thursday if he or his party has made the requisite notifications to the police for adequate security deployment.
20 Aug 2025
- A dramatic frenzy unfolded in the Maasai Mara this week as tourists blatantly ignored park regulations and blocked wildebeest river crossings during the ongoing annual Great Migration.
20 Aug 2025
- Speaking on Wednesday after a joint dialogue with the United Nations Development Programme (UNDP) on training and capacity building, IG Kanja emphasized that the National Police Service is fully in charge of security arrangements and expects “normalcy”…