- 487 viewsDuration: 3:56Ili kudumisha maadili katika jamii na hasa miongoni mwa vijana, wasanii wa kitamaduni katika kaunti ya Busia wanatumia ngoma na densi za kitamaduni katika sherehe mbalimbali zinazolenga kutoa hamasa na mafunzo kwa vijana.. Nyimbo hizo za kitamaduni hupokezwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, wasanii hao wakitumia muda wao mwingi kuwafunza vijana barobaro ili kuhakiisha kuwa mtindo huo haufifii