Washikadau katika sekta ya makazi wametoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko ya sera na mifumo katika ngazi za serikali za kaunti na kitaifa ili kupunguza pengo la makazi, hususan kwa wakazi wa maeneo yasiyo rasmi , ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa nyumba zenye hadhi nchini.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya