8 Oct 2025 1:35 pm | Citizen TV 214 views Duration: 1:50 Wadau wa utalii nchini Kenya na bara la Afrika wametakiwa kukumbatia mwelekeo mpya wa utalii ili kuvutia wasafiri wa kisasa duniani.