washikadau wa mawasiliano na teknolojia waanzisha uhamisho wa usalama mitandaoni

  • | Citizen TV
    250 views

    Huku idadi ya watoto na vijana wanaotumia mtandao ikiongezeka nchini, washikadau wa mawasiliano na teknolojia wameanzisha uhamasisho katika kaunti ya Makueni kuhusu usalama mitandaoni. Hali hii inatokana na visa vya watu kulaghaiwa na kudhalilishwa mitandaoni, kando na utumizi mbaya wa mitandao kuwadhulumu watoto.