Washiriki katika maonyesho Nation Meat Expo wamependekeza kuanzishwa kwa Mfuko wa Mifugo, utakaowasaidia wafugaji kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazoathiri uzalishaji wa mifugo, pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa mikataba ya wanunuzi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya