- 3,953 viewsDuration: 2:25Kufikia sasa Jumla ya watu 20 wameandikisha taarifa na idara ya upelelezi DCI kuhusiana na kashfa ya uagizaji petroli iliosababisha kupotea kwa shilingi bilioni 2.9. Wakati huo huo washukiwa watatu Mohammed Liban, Joe Sang na Daniel Kiptoo wameachiliwa kwa dhamana huku mawakili wao wakiwasilisha stakabadhi wanazodai zilisababisha kutolewa kwa amri ya kuagiza petroli kutoka kwa kamati kuu ya baraza la usalama nchini.