Washukiwa 4 wafikishwa kortini Nairobi kwa mauaji ya mbunge wa Kasipul Charles Ong’ondo Were

  • | Citizen TV
    7,229 views

    Polisi wataendelea kuwazuilia washukiwa wanne kwenye mauaji ya Mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo Were kwa siku 30 zaidi ili kukamilisha uchunguzi wao. Washukiwa wamefikishwa mahakamani ambako Hakimu Irene Gichobi akielezwa kuwa kuwa washukiwa zaidi wanaohitajika kwenye kesi hii.