- 1,887 viewsDuration: 2:20Huku shoka la sakata ya uagizaji mafuta likiendelea kukata na maafisa zaidi wanaohusishwa wakitafutwa, darubini imeelekezewa wahusika wakuu ambao wana tajriba katika sekta ya kawi na wamekuwa wakisimamia uagizaji na usambazaji wa bidhaa hiyo katika mashirika ya kenya pipeline, epra na wizara ya kawi. Je, watu hawa ki kina nani? Willy lusige anaangazia wasifu wao.