Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wa shambulio la Seneta Osotsi waachiliwa kwa dhamana ya milioni moja kila mmoja

  • | Citizen TV
    3,879 views
    Duration: 1:01
    Washukiwa watatu wanaohusishwa na shambulio la Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni moja kila mmoja na mdhamini wa kiasi sawa