- 1,873 viewsDuration: 2:57Washukiwa 22 wa ugaidi walioshtumiwa kuteketeza vituo vya polisi vya Makongeni na Matuu wakati wa maandamano ya sabasaba hawakujibu mashtaka kama ilivyotarajiwa baada ya upande wa mashtaka kuomba muda wa kubadilisha makosa yao. Wakati huo huo, mahakama imekataa kumpa dhamana Edward Gituku, mkenya aliyekamatwa kwa madai ya kujaribu kuwasafirisha wanajeshi waliostaafu kwenda nchini urusi