Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wa wizi wa mabavu kikuyu wafikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    1,858 views
    Duration: 47s
    Washukiwa watatu wa wizi wa mabavu walionaswa kwenye kamera za CCTV wakiiba ndani ya duka la kuuzia mvinyo katika barabara ya Muhuri, Januari tarehe 27, mwaka huu, wamefikishwa mahakamani Thika