Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wanne wa wizi wauawa Uasin Gishu

  • | KBC Video
    129 views
    Duration: 2:44
    MBIO ZA SAKAFUNI… Maafisa wa polisi katika kaunti ya Uasin Gishu waliwaua kwa kuwapiga risasi washukiwa wanne wa uhalifu waliojihami kwenye barabara ya kutoka Eldoret kuelekea Kiplombe na Soy. Hata hivyo washukiwa wawili walitoroka na wanasakwa na polisi. Genge hilo linaaminika kushiriki matukio ya wizi wa kimabavu yaliyoripotiwa katika maeneo ya Kitale, Kapenguria, Nandi, Marakwet na Eldoret. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive