Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wanne zaidi wakamatwa wakidaiwa kuhusika na maiti 33 Kericho

  • | Citizen TV
    2,716 views
    Duration: 2:57
    Maafisa wa upelelezi wamewakamata washukiwa wengine wanne wanaodaiwa kuhusika na kuzikwa kwa maiti 33 kwenye kaburi la halaiki kaunti ya Kericho. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesema serikali imezamia swala hilo na kwamba sheria itafuata mkondo wake ili kuhakikisha wahusika wote wanachukuliwa hatua za kisheria. Uchunguzi wa maiti ulibaini kuwa baadhi ya maiti hiyo ilikuwa na