- 10,073 viewsDuration: 3:29Washukiwa watatu wamekamatwa kuhusiana na uvamizi wa seneta wa Vihiga, Godfrey Osotsi, mjini Kisumu. Watatu hao waliotambuliwa na maafisa wa upelelezi walikematwa huku seneta Osostsi aliyelazwa hospitalini akisimulia yaliyomsibu. Viongozi wa upinzani waliomtembelea seneta huyo hospitalini wakishutumu tukio hilo