Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wanaohusishwa na uvamizi wa seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi wafikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    3,097 views
    Duration: 52s
    Washukiwa watatu waliokamatwa jijini Kisumu kwa madai ya kuhusika katika uvamizi wa seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi wamefikishwa mahakamani hii leo jijini Kisumu. Upande wa mashtaka unaitaka korti kuwapa idhini ya kuwazuilia watatu hao kwa siku kumi na nne ili kukamilisha uchunguzi. Hata hivyo, kupitia wakili wao, Carols Owiti, Eric Otieno and Vincent Odhiambo wameitaka korti kutupilia mbali ombi Hilo na badala yake kuwapa dhamana.