8 Oct 2025 7:52 pm | Citizen TV 3,940 views Duration: 51s Washukiwa wawili waliokamatwa kuhusiana na kashfa ya wizi wa magari Kisumu wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki tano na mdhamini wa kiasi sawia.