2 Dec 2025 11:08 am | Citizen TV 479 views Duration: 1:50 Wasichana 20 wamenufaika na mafunzo ya ushonaji bila malipo na kukabidhiwa cherahani na vifaa vingine vya ushonaji katika chuo cha ufundi cha Washa Taa huko Diani kaunti ya Kwale.