Skip to main content
Skip to main content

Wasichana U17 wa soka wajiandaa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Namibia

  • | Citizen TV
    294 views
    Duration: 2:15
    Timu ya taifa ya soka kwa wasichana wa chini ya miaka kumi na saba wameendelea mazoezi yao kwa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Namibia ugenini. Mwanaspoti wetu Luqman Mahmoud na mengi zaidi.