17 Dec 2025 10:20 am | Citizen TV 235 views Duration: 3:13 Swala la ukeketaji limesalia kuwa kero katika jamii ya wafugaji ya wasamburu, wadau wakizidisha juhudi za kukomesha kadhia hiyo,kwa kufanya kampeni inayowahusisha watoto wa kike kuhusu madhara ya ukeketaji.