Skip to main content
Skip to main content

Wasichana waliofuzu kombe la dunia nchini Morocco wafika ikulu

  • | Citizen TV
    337 views
    Duration: 4:02
    Rais William Ruto akuwa mwenyeji wa timu ya taifa ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 ambao wafuzu wikendi kwa mchuano wa kombe la dunia baadaye nchini Morocco. Baada ya kufuzu kwa mara ya pili, wasichana hao pamoja na kikosi cha kiufundi kinachoongozwa na Mildred Weche chafunaika kwa kwa ziara hiyo ya ikulu ambapo rais ruto amewapingeza na kuahidi kusaidia kikosi hicho katika maandalizi yake. Kenya ilifuzu baada ya kuilaza Afrika Kusini mabao matatu kwa moja wikendi iliyopita katika uwanja wa Nyayo.