Skip to main content
Skip to main content

Wasichana wametaalamu KJSEA; hesabati na lugha ya ishara zadorora

  • | Citizen TV
    1,454 views
    Duration: 3:05
    Matokeo ya kwanza ya wanafunzi wa sekondari msingi KJSEA yametolewa leo huku wasichana wakifanya vyema ikilinganishwa na wanafunzi wa kiume matokeo haya pia yakionyesha kuwa wanafunzi hawakufanya vyema kwenye somo la hesabati na lugha ya ishara. Matokeo haya yametangazwa na waziri wa elimu Migos Ogamba