- 1,495 viewsDuration: 3:07Kuna hali ya wasiwasi kuhusu utayari wa baadhi ya kaunti kukabiliana na athari za mvua ya El Nino. Huko Nyeri na Nakuru, mitaro imesalia kujaa taka huku wakaazi wakitaka suluhu ya haraka. Haya yanajiri huku ripoti zikionyesha kuwa kaunti 18 ziko kwenye hatari kubwa ya kuathirika na mvua hizo. Na kama anavyoarifu Maryanne Nyambura, naibu Rais Kithure Kindiki amewataka wadau kuunga mkono serikali ili kutoa msaada wa ziada kukabiliana na athari za El Nino.