Skip to main content
Skip to main content

Wasiwasi waibuliwa kuhusu wasichana kukosa taulo za bei nafuu

  • | Citizen TV
    134 views
    Duration: 3:50
    Wito watolewa kwa serikali kutekeleza kikamilifu sheria za usafi wa hedhi huku wasiwasi ukiongezeka kuwa maelfu ya wasichana na wanawake bado wanakosa taulo za kike za bei nafuu.Wahudumu wa afya na mashirika ya kijamii wanasema utekelezaji hafifu wa sera zilizopo unasababisha utoro shuleni na unyanyapaa kwa wasichana. Wakizungumza katika kongamano la afya ya hedhi katika shule ya msingi ya Nanyuki DEB, kaunti ya Laikipia, wadau wataka serikali kuu na za kaunti kuipa afya ya hedhi kipaumbele zaidi ya maadhimisho ya kila mwaka