- 3,971 viewsDuration: 4:54Kaunti ya Nairobi imeshuhudia mafuriko ya mara kwa mara katika siku za hivi karibuni na kusababisha vifo na uharibifu wa mali. Hata hivyo, historia huenda inageuka kwenye mji ambao licha ya kuwa na maji mengi, kuna mengi yaliyofanywa kuzuia hali kama hizi. Emily Chebet anaangazia darubini ya wataalam kuhusu kwa nini Nairobi imeanza kushuhudia mpasuko wa maji yanayohatarisha maisha