- 660 viewsDuration: 4:05Wataalam katika mipango ya ujenzi wa miundo mbinu ya miji wamesema kuwa maafa na kupoteza mali kulikoshuhudiwa katika maeneo tofauti nchini huenda kungeepukika iwapo mipango ya miundombinu ingeangaziwa upya kutoka mwaka wa 2014 ili kupambana na mabadiliko ya hali ya anga. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya