Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu washauri vipimo vya mara kwa mara vya saratani

  • | Citizen TV
    191 views
    Duration: 1:44
    Wataalamu wa afya wameeleza kuwa uhamasishaji kuhusu ugonjwa wa saratani unahutaji kupewa kipaumbele, huku wakitaka uchunguzi wa mapema na msaada zaidi kutoka kwa jamii. Mwanzilishi wa shirika linalosaidia wagonjwa wa saratani, Nana Kilemi, amewataka wakenya kufanya uchunguzi wa mara kwa mara, akisema kuwa kugundua ugonjwa mapema kunaweza kuokoa maisha, huku pia akitaka kukomeshwa kwa unyanyapaa na kimya kinachozunguka saratani.