10 Oct 2025 7:25 pm | Citizen TV 1,691 views Duration: 1:18 Wanafunzi wawili wa shule ya msingi ya Muguga eneo la Kabete katika kaunti ya Kiambu walikufa maji walipokuwa wakiogelea kwenye kidimbwi mapema leo