Skip to main content
Skip to main content

Watu 10 wakamatwa kwenye maandamano ya Saba Saba

  • | Citizen TV
    4,360 views
    Duration: 3:19
    Watu 10 wamekamatwa na polisi jijini Nairobi kwa kushiriki maandamano ya Saba Saba. Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amesema maandamano ya Jumanne yalikuwa yameharamishwa kwa kuwa polisi hawakupokea ilani yoyote ya maandamano. Wanaharakati, hata hivyo, wameilaumu polisi kwa kuwazuia kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kuandamana na kuwasilisha mapendekezo bungeni wakitaka waathiriwa wa maandamano ya Saba Saba ya mwaka jana wafidiwe.