Skip to main content
Skip to main content

Watu 14 wafariki barabarani katika ajali mbalimbali

  • | Citizen TV
    5,174 views
    Duration: 2:43
    Watu kumi na wanne wamefariki kwenye ajali nne tofauti katika muda wa saa ishirini na nne. Kwenye ajali moja, watu kumi na mmoja waliaga duania baada ya matatu kugongana na trela katika eneo la kariandusi huko gilgil. Waziri wa usalama kipchumba murkomen amewataka wanaotumia barabara kuwajali wenzao ili kuzuia ajali zinazoweza kuepukika. Evans asiba anatufungulia jamvi la nipashe kwa taarifa hiyo.