21 May 2026 1:32 pm | Citizen TV 237 views Duration: 59s Marekani yapuuzilia mbali dhana kuwa maambukizi ya Ebola yamezidishwa na kuondolewa kwa ufadhili kwa shirika la USAID ili kupambana na majonjwa ambukizi DRC na Uganda.