- 6,487 viewsDuration: 28sNdege binafsi ya biashara imeanguka katika mji wa Florida nchini Marekani, na kusababisha vifo vya watu tisa waliokuwa ndani ya ndege hiyo, kwa mujibu wa waziri wa uchukuzi wa Marekani. Ndege hiyo ilikuwa imetoka Austin, jimbo la Texas, na ilikuwa ikielekea Bahamas ilipoanguka umbali wa takriban maili tisa kutoka Mar-a-Lago, makazi ya Rais Donald Trump yaliyopo Florida. Uchambuzi wa data za safari ya ndege unaonesha kuwa ndege hiyo ilikuwa ikishuka kwa kasi ya mamia ya futi kwa sekunde kabla ya kuanguka. Hata hivyo, hakuna mtu aliyekuwa ardhini aliyejeruhiwa katika ajali hiyo. - - #bbcswahili #marekani #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw