5 Jan 2026 1:47 pm | Citizen TV 12,270 views Duration: 1:54 Watu 9 wamefariki usiku wa kuamkia leo huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika eneo la Karai kwenye Barabara kuu ya Naivasha kuelekea Nakuru baada ya basi la kampuni ya Greenline na matatu ya Nanyuki cabs kugongana.