- 28,134 viewsDuration: 1:04Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya makabiliano makali baina ya polisi na waandamanaji katika maeneo ya jiji la Dar es Salaam. - Maandamano haya ni sehemu ya mwitikio wa mitandaoni wa makundi ya wanaharakati na vijana wakitaka mageuzi zaidi ya kisiasa. - - - #tanzania #uchaguzi #bbcswahili #foryou #uchaguzimkuu2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw