Skip to main content
Skip to main content

Watu wanane wafariki katika ajali kwenye barabara kuu ya Nairobi–Mombasa

  • | Citizen TV
    6,589 views
    Duration: 2:42
    Watu 8 wamefariki kupitia ajali mbili tofauti za barabarani kwenye barabara kuu ya Nairobi–Mombasa. Watu sita walifariki baada ya basi la kampuni ya Tahmeed kugongana na malori mawili. Watu wengine wawili walifariki baada ya gari walimokuwa wakisafiria kugongana ana kwa ana na trela eneo la Salama