Watu wanne wafariki huku 11 wakinusuriwa na maafisa wa polisi baada ya kulazimishwa kufunga

  • | Citizen TV
    5,699 views

    Watu wanne wamefariki huku 11 wakinusuriwa na maafisa wa polisi waliofanya msako wa nyumba hadi nyumba kuwasaka waathiriwa wa dhehebu potovu waliodhoofika kiafya baada ya kulazimishwa kufunga kwa sababu ya itikadi Kali za kanisa Moja tata eneo la Shakahala malindi.