Skip to main content
Skip to main content

Watu watano wakamatwa kwa ulaghai wa malipo ya SHA

  • | Citizen TV
    5,867 views
    Duration: 2:56
    Tunaanza taarifa za nipashe wikendi kwa ulaghai wa malipo ya sha ambapo kituo kimoja cha afya vihiga kinachoarifiwa kudai shilingi milioni 4.9 badala ya malipo halali ya shilingi 18,000 ni miongoni mwa vituo ambavyo vimemulikwa na wachunguzi kwa kulaghai sha mabillioni ya pesa. Kituo kingine huko kilifi kinadaiwa kuwasilisha madai feki ya shilingi milioni 2.03. Na kama anavyoarifu ben kirui, kashfa ya ulaghai w amalipo ya sha umemgharimu mlipa ushuru zaidi ya shilingi bilioni 10 huku watu watano wakikamatwa.