8 Oct 2025 1:45 pm | Citizen TV 2,680 views Duration: 1:12 Watu watatu wa familia moja walifariki kwenye mkasa wa moto uliozuka katika soko la brigadieren eneobunge la Tongaren kaunti ya Bungoma.