- 12,824 viewsDuration: 3:11Watu wawili wamefariki baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa katika kaunti ya Makueni na kufikisha idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko katika kaunti hiyo kufikia watu kumi na wanane. Haya yanajiri huku Zaidi ya familia 150 zikilazimika kuhama baada ya maji kuingia katika nyumba zao katika wadi ya Mbitini kaunti hiyo ya Makueni.